BAADA ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) kuweka hadharani ratiba ya Ligi Kuu Bara inaonyesha mwezi ujao ambao ligi hiyo itarejea ...
LIGI Kuu Bara imesimama huku ikiwa zimeshachezwa jumla ya mechi 124 zilizokusanya mabao 265 yakiwamo 110 yaliyofungwa na ...
Mabosi wa Simba wameonyesha hawatanii. Baada ya kumvutia waya kiungo kutoka Guinea anayeichezea CS Sfaxien ya Tunisia, safari hii imeigeukia Yanga, ikipiga hesabu ya kuibomoa.
Kabla ya kuahirishwa kwa fainali za Chan, bodi ya ligi ilipanga kusimamisha Ligi Kuu hadi mwezi Machi mwaka huu.
Dar es Salaam ambako kutachezwa mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga kuanzia saa 11 jioni ikiwa ni ya mzunguko wa kwanza wa ligi kuu msimu huu. Timu hizo zinakutana huku Yanga wakiongoza msimamo ...
GOLIKIPA wa zamani wa Simba, Yanga, Azam FC, Deogratius Munishi 'Dida' na kiungo mkabaji, Said Makapu, wamejiunga na Geita ...
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake nchini (TWPL), Simba Queens, wanatarajia kuikabili Mlandizi Queens, katika mechi ya ...
Klabu ya Yanga ilitwaa taji lake la 30 la Ligi Kuu Tanzania Bara wakiandika historia ... Mahasimu wao Klabu ya Simba nao waliwahi kushiriki katika kupanda kwenye mlima huo kwa kupeleka “kibegi ...