Wawakilishi wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wamekwama kutinga hatua ya robo fainali ya mashindano hayo ...
Kabla ya Simba kutupa karata yao huko Misri, watani wao Yanga watakuwa wageni wa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ambayo ni mabingwa wa kombe hilo mwaka 2016 ambapo sare ya magoli ya aina yoyote ...
Pili, itaishusha Simba na kusogea hadi nafasi ya sita katika chati ya ubora wa klabu Afrika kwa muda wa miaka mitano ...
NGUVU, utulivu na kuweka dharau pembeni ndio kipaumbele cha mabingwa watetezi, Yanga kuelekea mechi ya raundi ya tatu ya ...
HASIRA za Yanga kutolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi, jana ziliishia kwa Copco FC, ...
Tumepeleka kombe kwenye kilele cha juu zaidi Afrika na dunia imeona kwa kiasi gani Yanga imepiga hatua. Katika harakati za tambo kati ya mashabiki wa klabu hizo kongwe, Ali Abeid ambaye ni shabiki ...
Dar es Salaam. Yanga imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baada ya kulazimishwa sare ...
Yanga imewafuta machozi mashabiki wake ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao ...
In their clash with hosts TP Mazembe in the Group A CAF Champions League on Saturday, young Africans (Yanga) put up a fierce fight to earn a last-minute point. Yanga trailed throughout the whole ...
Dar es Salaam. Preparations are in top gear for the crucial CAF Champions League Group A match between Young Africans (Yanga) and DR Congo’s TP Mazembe, who are set to arrive today. The highly ...
Droo hiyo imefanyika jijini Johannesburg, Afrika Kusini, ambapo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, imepangwa Kundi D. Saa chache baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kupanga ...