Hayo yamesemwa leo Januari 11,2025 jijini Arusha na Waziri wa Afya Jenista Mhagama wakati akikagua na kuzindua chumba cha ...
Hussein Ilindilo mkazi wa kijiji cha Chifutuka ameishukuru Serikali kwa kuwaletea gari hiyo, kwani itasaidia kuokoa maisha ya ...
Takwimu hizo zimetolewa leo Januari 11, 2025 wakati wa mkutano wa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu ...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema usaili wa walioomba ajira kwenye ...
Aprili 4, 2024, Mfanyabiashara, Hassan Usinga maarufu Wembe na msaidizi wake, Anita Mushi walimdhalilisha waziri wa zamani, ...
Watu hao wanaoishi Kata ya Monduli Juu wanadaiwa kuishi ndani ya hifadhi ya msitu wa jamii katika Kijiji cha Emairete.
Kiwanda hicho kinachojengwa katika Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe, kinatarajia kuanza kufanya kazi Februari ...
Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya wananchi wa Kata ya Mpirani, wameishukuru Serikali kwa kukamilisha ujenzi.
Wakati Al Hilal na Bravos zikionekana kuwa na rekodi nzuri ya ubabe nyumbani katika mechi za kimataifa, muendelezo wa ubora ...
Kuna wanamuziki wakali zaidi ya Mondi. Lakini anawazidi kwenye kujiongeza. Mondi anapita sehemu isiyopitika, anamvaa ...
Lebo yake ya WCB Wasafi imekuwatoa wasanii wengi wakubwa, mmoja wapo ni Rayvanny ambaye ni msanii wa kwanza Tanzania kushinda ...
Dar es Salaam. Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga tayari wamewasili kwenye mataifa ...