Dar es Salaam. Kuna wachezaji watatu ndani ya kikosi cha Yanga ambao wanaweza kubadilisha upepo ndani ya timu hiyo siku ...
Unavyosoma taarifa hii ni kwamba kocha wa Yanga, Sead Ramovic atamalizia mchezo huo wa dhidi ya KenGold kisha atafunga virago ...
BAADA ya kuondolewa katika mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kikosi cha Yanga kimeingia kambini kwa ajili ...
Meneja wa timu ya Yanga, Walter Harrison anasema, mafanikio yanatokana na uongozi ulio bora, kikosi bora cha wachezaji, benchi la ufundi na mashabiki ambao siku zote wako na klabu yao. Harrison ...
Kocha wa timu ya taifa ya soka Tanzania, Mdachi Mart Nooij ametangaza kikosi cha wachezaji 26 kitakachoivaa ... Viungo ni Salum Telela ( Yanga) , Adam Salamba (Bulyankulu FC) wakati Hassan Banda ...
KIKOSI cha timu ya Yanga kimeanza kupiga hesabu kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar Februari 1, kikizitaka ...
KUNA mshtuko umetokea leo jioni kwenye mazoezi ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga wakati kikosi hicho kikijiandaa na mchezo wa ligi hiyo utakaochezwa kesho Jumatano Februari 5, ...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, amesema ameamua kumtumia beki wake wa kulia, Israel Mwenda kama winga kutokana na kasi ...
WIKIENDI iliyopita Yanga ilitoka 0-0 na MC Alger, matokeo hayo yaliifanya kushindwa kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikimaliza nafasi ya tatu Kundi A.