UMUHIMU wa pointi tatu za mchezo wa leo baina ya Simba na Dodoma Jiji katika Ligi Kuu Bara, zinatoa majibu ya namna upinzani ...
KLABU ya Simba imesema mchezo wa Jumamosi dhidi ya Yanga umebeba hatma, mustakabali na heshima yao ... jana jijini Dar es Salaam, alisema kikosi cha timu hiyo kimeingia kambini tangu Jumatatu jioni ...
huku akifafanua kwamba amekuwa akifanya mabadiliko ya wachezaji wengi kipindi cha pili kwenye kikosi cha Yanga tangu aanze kukinoa kwani anahitaji awaone wachezaji wote, viwango vyao, ili aweze ...