WAKATI akili na nguvu za wachezaji na benchi la ufundi la Simba zimeelekezwa katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya ...
NYOTA wanne wa Ligi Kuu Bara, akiwamo Duke Abuya wa Yanga na Elvis Rupia wa Singida Black Stars ni miongoni mwa wachezaji ...
MIONGONI mwa wachezaji wa Simba ambao wanatarajiwa kucheza kwa mara ya kwanza Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga, Machi 8 ni ...
Kikosi cha Yanga kesho jioni kitashuka Uwanja wa KMC Complex katika mwendelezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC, lakini kabla ya kipute hicho kupigwa inaelezwa benchi la ufundi la timu hiyo lipo mbioni ...
Yanga ilirejea Dar es Salaam jana ikiwa na vaibu baada ya kuwafunga Pamba Jiji kwao, Mwanza kwa kipigo cha mabao 3-0, lakini ...
Kikosi cha Kujihami cha Ardhini cha Japani na Jeshi la Wanamaji la Marekani wanafanya mazoezi ya pamoja kusini magharibi mwa Japani ili kuimarisha ulinzi wa visiwa vya mbali vya Japani. Huu ni ...
TUTAENDELEZA vipigo, hizo ndio tambo za Kocha Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi, kuelekea mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya ...
Kulingana na ripoti za awali, kukamatwa kwake kulifanywa na wanajeshi kutoka Kikosi cha 87 ya Uingiliaji wa Haraka ya Marshal Khalifa Haftar. Watu wake watano pia walikamatwa. Mahmoud Sallah ...
"Siku ya Ijumaa jioni, msafara wa UNIFIL uliokuwa ukisafirisha askari wa kulinda amani kwenye uwanja wa ndege wa Beirut ulishambuliwa vikali, na gari likachomwa moto. "Naibu Kamanda wa Kikosi cha ...
Kudondoka kwa theluji kunakotarajiwa katika kipindi cha saa 24 hadi kesho Jumatatu asubuhi kunaweza kufikia sentimeta 70 mkoani Niigata; sentimeta 50 katika maeneo ya Tohoku, Kinki na Hokuriku ...
The police are investigating the murder of five men in the Eastern Cape. It is feared that one of the deceased is Yanga ‘Bara’ Nyalara, who is dubbed the extortion kingpin. He had been ...
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anatarajiwa kufanya uamuzi kuhusu mustakabali wa mshambuliaji wa Uingereza Jack Grealish, 29, huku kukiwa na mipango ya kukimarisha kikosi cha City.