Hisia za mashabiki wa soka Tanzania zitaelekezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ambako kutachezwa mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga kuanzia saa 11 jioni ikiwa ni ya mzunguko ...
Mwishoni mwa wiki Simba na Yanga, zilikutana jijini Mwanza katika nusu fainali ya kombe la FA nchini Tanzania. Katika mchezo huo Yanga ilishinda kwa bao 1-0 na kutinga fainali ya kombe hiyo ambapo ...