HII wikiendi ya kibabe kwelikweli kuanzia hapa nchini hadi Ulaya kuna mechi zinapigwa leo Jumamosi na kesho Jumapili huku ...
BAADA ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) kuweka hadharani ratiba ya Ligi Kuu Bara inaonyesha mwezi ujao ambao ligi hiyo itarejea ...
Dar es Salaam ambako kutachezwa mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga kuanzia saa 11 jioni ikiwa ni ya mzunguko wa kwanza wa ligi kuu msimu huu. Timu hizo zinakutana huku Yanga wakiongoza msimamo ...
Kuna methali ya Kiswahili inayosema ‘Kuti la mazoea humwangusha mgema.’ Hiyo ikiwa na maana kwamba jambo ulilozoea kulifanya na kuliona la kawaida kuna siku litakufedhehesha au kukuumiza.
USHINDI wa mabao 3-0 iliyoupata Simba jana dhidi ya Tabora United kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora, ...
MABINGWA watetezi, Yanga wamekaa kileleni baada ya kuwaangamiza Kagera Sugar mabao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam jana. Ulikuwa ni u ...
Klabu ya Yanga ilitwaa taji lake la 30 la Ligi Kuu Tanzania Bara wakiandika historia ... Mahasimu wao Klabu ya Simba nao waliwahi kushiriki katika kupanda kwenye mlima huo kwa kupeleka “kibegi ...