HII wikiendi ya kibabe kwelikweli kuanzia hapa nchini hadi Ulaya kuna mechi zinapigwa leo Jumamosi na kesho Jumapili huku ...
Bao la dakika za jioni la Jentrix Shikangwa dhidi ya Ceasiaa Queens kwenye Uwanja wa KMC Complex jana lilitosha kuipa Simba ...
Dar es Salaam ambako kutachezwa mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga kuanzia saa 11 jioni ikiwa ni ya mzunguko wa kwanza wa ligi kuu msimu huu. Timu hizo zinakutana huku Yanga wakiongoza msimamo ...
AKIWA tayari ameiongoza timu yake kupata ushindi kwenye michezo sita mfululizo ya Ligi Kuu aliyoisimamia akiwa Kocha Mkuu wa ...
Wakati ligi ikirejea, Simba inayoongoza msimamo itacheza dhidi ya Tabora United ugenini ilhali Yanga inayoshika nafasi ya ...
Kuna methali ya Kiswahili inayosema ‘Kuti la mazoea humwangusha mgema.’ Hiyo ikiwa na maana kwamba jambo ulilozoea kulifanya ...
MABINGWA watetezi, Yanga wamekaa kileleni baada ya kuwaangamiza Kagera Sugar mabao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam jana. Ulikuwa ni u ...
Klabu ya Yanga ilitwaa taji lake la 30 la Ligi Kuu Tanzania Bara wakiandika historia ... Mahasimu wao Klabu ya Simba nao waliwahi kushiriki katika kupanda kwenye mlima huo kwa kupeleka “kibegi ...