WINGA wa Bayern Munich, Nestory Irankunda mwenye asili ya Tanzania ametolewa kwa mkopo na klabu hiyo kwenda Grasshopper Club ...
BAADA ya tambo za Watanzania wawili wanaokipiga katika Ligi ya Walemavu nchini Uturuki hatimaye mechi baina ya timu zao ...
Akizungumza baada ya kukamilika kwa mzunguko wa kwanza, Ofisa Habari wa Klabu hiyo, Christina Mwagala, amesifia usajili wao 'umelipa' na pia amewapongeza wachezaji hao wa kigeni kuzoea haraka ...
MECHI mbili ambazo Simba imecheza dhidi ya vibonde wa Kundi A katika Kombe la Shirikisho Afrika, CS Sfaxien, zimempa faida ...
Paris St-Germain iko tayari kufanya mazungumzo na Aston Villa kuhusu dili la kubadilishana fedha na wachezaji ... amevutiwa na klabu ya Ligi Kuu ya Soka Seattle Sounders. (Teamtalk).
League play in high school basketball picks up steam with a huge chance for fans to make their first trip to the recently opened Inuit Dome. High school basketball: Saturday’s boys’ and girls ...
(Telegraph - usajili unahitajika) Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Marcus Rashford alifunga bao la kwanza la Unitete chini ya ukufunzi wa Ruben Amorim, katika uwanja wa Ipswich ...
Kwa upande wa soka la wanawake, Mwenyekiti wa Chama cha Soka la Wanawake Mkoa wa Pwani, Asha Mbata, amesema kuwa mwaka jana wilaya zote za mkoa huo zilifanikiwa kuchezesha ligi za wanawake, isipokuwa ...
Nabi amesema alikuwa ana imani hiyo kutokana na kujua soka la Tanzania ambapo pia alikuwa anazifahamu falsafa za kocha huyo ambaye amewahi kufanya kazi nchini Afrika Kusini kabla ya kutimkia Tanzania.
A request from the fire department was misconstrued online, illustrating the untapped resource of civic-minded neighbors eager to pitch in.