HASIRA za Yanga kutolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi, jana ziliishia kwa Copco FC, ...
YANGA Princess wiki iliyopita imetambulisha vyuma vitatu vya kimataifa lakini usajili ulioshtua zaidi ni ule wa nyota wazawa.
Simba inajiandaa kushuka uwanjani jioni ya leo kuvaana na Kilimanjaro Wonders katika mechi ya kiporo cha Kombe la Shirikisho, ...
KLABU ya Yanga imesema imepata somo na imejifunza kitu kutokana na kutolewa kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, hivyo viongozi watakaa na kusuka mipango mipya, ili msimu ujao irejee kwa ...
Timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', itajua wapinzani wake itakaokutana nao wakati droo ya michuano ya Kombe la Mataifa ...
KIUNGO mshambuliaji wa Mashujaa, Balama Mapinduzi ‘Kipenseli’ amesema ameanza kujitafuta mapema kikosini kabla ya kurejea kwa Ligi Kuu Bara, akipania kutumua duru hilo la pili kuondoa gundu ...