Kabla ya Simba kutupa karata yao huko Misri, watani wao Yanga watakuwa wageni wa Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ambayo ni mabingwa wa kombe hilo mwaka 2016 ambapo sare ya magoli ya aina yoyote ...
Mabosi wa Yanga walishtushwa na uamuzi wa ghafla wa kocha Sead Ramovic ambaye aliomba kuvunja mkataba wake kisha jana Jumanne ...
Muda mfupi baada ya kocha Sead Ramovic kubwaga manyanga, Yanga leo, Februari 4, 2025 imetangaza kumchukua kocha wa Singida ...
Tumepeleka kombe kwenye kilele cha juu zaidi Afrika na dunia imeona kwa kiasi gani Yanga imepiga hatua. Katika harakati za tambo kati ya mashabiki wa klabu hizo kongwe, Ali Abeid ambaye ni shabiki ...
MISIMU miwili iliyopita, mashabiki wa Yanga walidhani ni ndoto kuuzwa kwa mshambuliaji Fiston Mayele. Lakini Pyramids ...
NGUVU, utulivu na kuweka dharau pembeni ndio kipaumbele cha mabingwa watetezi, Yanga kuelekea mechi ya raundi ya tatu ya ...
KUELEKEA mchezo wa keshokutwa kati ya Yanga na KenGold FC, utakaochezwa Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, winga mpya wa ...
In their clash with hosts TP Mazembe in the Group A CAF Champions League on Saturday, young Africans (Yanga) put up a fierce fight to earn a last-minute point. Yanga trailed throughout the whole ...
Muda mfupi baada ya kocha Sead Ramovic kubwaga manyanga, Yanga leo, Februari 4, 2025 imetangaza kumchukua kocha wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud kuziba pengo lililoachwa na Mjerumani huyo.