KLABU ya Simba imesema mchezo wa Jumamosi dhidi ya Yanga umebeba hatma, mustakabali na heshima yao, huku winga, Kibu Denis, akibainisha kuwa katika mechi ambazo hucheza kwa ufanisi na kujituma zaidi ...