Dar es Salaam. Katika usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15 mwaka huu, Yanga ilitambulisha wachezaji wawili pekee ...
Wanaotajwa kumalizana na Yanga huku wakiwa wamefichwa na klabu hiyo wote wanatokea Zanzibar ambao ni mshambuliaji wa Mlandege, Abdallah Idd Mtumwa ‘Pina’ na kiungo Khleffin Salum Hamdoun aliyewahi ...
MABINGWA wa Tanzania Bara, Yanga, jana walishindwa kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulazimishwa suluhu na wageni MC Alger ya Algeria katika mchezo wa raundi ya sita, ...