KLABU ya Yanga imelalamika kufanyiwa vurugu kubwa baada ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi dhidi ya TP Mazembe, uliochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Mazembe, Lubumbashi, ...
Bashungwa alisimamishwa na askari hao jana eneo la Magugu alipokuwa safarini. Aliwapongeza askari hao kwa kazi nzuri wanayoifanya huku akisema wawaambie watu barabarani si sehemu ya machinjio ya watu.