KLABU ya Yanga imelalamika kufanyiwa vurugu kubwa baada ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi dhidi ya TP Mazembe, uliochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Mazembe, Lubumbashi, ...
Ajali ya ndege ya Jeju Air, Boeing 737-800 iliyotokea jana Korea Kusini na kusababisha vifo vya watu 179, huku wahudumu ...
YANGA imerudi kwa mshambuliaji wa Ghana aliyekuwa katika hesabu tangu msimu uliopita, huku Singida Black Stars ikiwa tayari kwenye mazungumzo naye. Mshambuliaji huyo anakumbukwa zaidi alipokutana na ...
Dar es Salaam. Aliyekuwa mfanyabiashara maarufu jijini Tanga, Yanga Omari ‘maarufu rais wa Tanga’ amefariki dunia jana mchana (Desemba 27, 2024) akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ...
This porridge came to be famously known as "Ugali wa Yanga," a name that has become deeply embedded in Tanzania's cultural history. The term "Ugali wa Yanga" emerged due to the yellow hue of the maize ...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic, amesema watafanya kila njia kuhakikisha wanapata ushindi wa ugenini leo dhidi ya TP Mazembe ili kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kuwa na matumaini ya kuingia ...
Yanga’s hope of progressing to the next stage hangs in the balance, following two defeats, placing them under immense pressure to secure first win. Ahead of today’s encounter, at a pre-match interview ...
BAADA ya kumvuta kikosini beki wa zamani wa Simba aliyekuwa akiitumikia Singida Black Stars, Israel Mwenda, mabosi wa Yanga ni kama inafanya komoa sasa, baada ya kudaiwa imeanza kunyemelea beki ...
Mwenda, who previously played for Yanga’s rivals Simba SC, is a versatile defender capable of playing both right-back and left-back. His arrival is expected to address the defensive challenges Yanga ...
Dar es Salaam. Tanzania’s representatives in the continental club championships, Young Africans (Yanga) and Simba SC, have been urged to remain cautious and focused in their upcoming matches despite ...