Alisema miaka 61 na mafanikio yake, msingi wake ni Mapinduzi Matukufu ya mwaka 1964 na jitihada za wananchi na viongozi wa ...
Ndege hiyo aina ya Boeing 737-800, ikitokea Bangkok Thailand kwenda Muan nchini Korea Kusini ilikuwa imebeba abiria 181 ...
Tovuti ya Russia Today imeripoti leo Jumamosi Januari 11, 2025, kuwa kati yake droni 31 zimedunguliwa zikijaribu kukatiza Bahari Nyeusi kwa ajili ya kwenda kutekeleza mashambulizi katika ...
Alisema miaka 61 na mafanikio yake, msingi wake ni Mapinduzi Matukufu ya mwaka 1964 na jitihada za wananchi na viongozi wa ...
Tuzo ya Pravas Brahatiya Sammanya ya mwaka 2025 ilitolewa Januari Mosi, 2025 na Rais wa India ikiwa ni sehemu ya kuthamini ...
Wakati baadhi ya mikoa nchini ikiripotiwa kukumbwa na kipindupindu, wataalamu wa afya wameshauri juhudi zilizotumika ...
Mshtakiwa huyo ambaye anachukua kozi ya kodi (Taxation) ngazi ya cheti hapo IFM, amefikishwa Mahakama hapo jana Ijumaa, ...
Tovuti ya Russia Today imeripoti kuwa Rais wa Marekani, Joe Biden amesema vikwazo vilivyowekwa na Marekani dhidi ya nishati ...
Kiwanda hicho kinachojengwa katika Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe, kinatarajia kuanza kufanya kazi Februari mwaka huu.
Inadaiwa siku hiyo katika Mtaa wa Alikan uliopo wilaya ya Ilala, mshtakiwa kwa makusudi bila halali alimshambulia Jabir Patwa ...
Ajali hiyo iliyotokea Januari 10, 2025 Kijiji cha Mazizi Mkoani Pwani inadaiwa kusababishwa na uzembe wa dereva wa Coaster ...
Hayo yamesemwa leo Januari 11,2025 jijini Arusha na Waziri wa Afya Jenista Mhagama wakati akikagua na kuzindua chumba cha ...