News
James Ndomba (36), mwalimu wa Sekondari ya Msalato jijini Dodoma, anatajwa kuwa mgombea mwenye umri mdogo zaidi kati ya walimu 18 waliopitishwa kwenye nafasi hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa ya Chadema, iliyotiwa saini na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia, uchaguzi wa Lissu na ...
Uwekezaji wa Serikali katika kuboresha mifumo ya masoko katika sekta ya madini ya dhahabu na kilimo cha tumbaku katika mkoa wa kimadini wa Chunya, umetajwa kuchangia kuufanya mkoa huo kuwa ...
'Baada ya Waya kumaliza kujibu maswali mbalimbali kutoka kwa wananchi katika mkutano wa hadhara, alisema anahisi hayupo sawa ...
Al Hilal ya Saudi Arabia imechoka kumsubiria kiungo aa Manchester United, Bruno Fernandes na sasa imemtaka hadi mwishoni mwa ...
Kocha huyo aliichukua Napoli ikiwa na hali mbaya baada ya msimu wa 2023/24 kumaliza ktika nafasi ya 10 baada ya kushindwa kutetea ubingwa wao wa 2022/23 chini ya kocha Luciano Spalletti.
Mwanza. Madini ya almasi yenye thamani ya zaidi ya Sh1.7 bilioni yamekamatwa yakitoroshwa nje kupitia uwanja wa ndege wa ...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wasioona Tanzania, Omary Itambu amesema utolewaji wa elimu na mafunzo ya ununuzi wa umma kwenye ...
Wakati migodi mingi nchini ikihamia kwenye uchimbaji wa chini ya ardhi, inaelezwa kuwa hatua hiyo imesababisha uhitaji wa ...
Wanafunzi watatu waliokuwa wakisoma katika Shule ya Msingi Lucky Vincent, wakanusurika katika ajali ya gari iliyotokea katika ...
Wakati mchakato wa kuandaa mtaala mpya wa umahiri ukiendelea, wataalamu wa elimu wamesema mtaala huo unatarajiwa kufungua ...
Uamuzi wa kumtangaza Mgaywa kugombea nafasi hiyo umetangazwa leo Mei 23, 2025, na Katibu Mkuu wa ADC taifa, Hamad Aziz jijini Dar es Salaam.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results