News

Al Hilal ya Saudi Arabia imechoka kumsubiria kiungo aa Manchester United, Bruno Fernandes na sasa imemtaka hadi mwishoni mwa ...
Mtangazaji Oscar Oscar a.k.a Mzee wa Kaliua ameteka mazungumzo mtandaoni wiki hii baada ya kutoa wimbo wake, Mniombee (2025) ...
Mama Mawigi ndivyo anavyoitwa. Jina lililobeba maana ya kile anachokifanya kabla ya kuingia kwenye tasnia ya vichekesho miaka ...
Mwanza. Madini ya almasi yenye thamani ya zaidi ya Sh1.7 bilioni yamekamatwa yakitoroshwa nje kupitia uwanja wa ndege wa ...
Wataalamu wa afya za watoto wachanga wametaja hatari iliyojificha katika nguo nyekundu kwa mtoto mchanga, ambazo wanawake ...
Wanafunzi watatu waliokuwa wakisoma katika Shule ya Msingi Lucky Vincent, wakanusurika katika ajali ya gari iliyotokea katika ...
Shinyanga. Hatua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kueleza ajenda yake ya No Reforms No Election, inavyodaiwa ...
Awali, kiongozi huyo alikamatwa na askari wa Polisi katika kituo cha mabasi yaendayo haraka cha Kimara, na kupelekwa Kituo ...
Wakati mchakato wa kuandaa mtaala mpya wa umahiri ukiendelea, wataalamu wa elimu wamesema mtaala huo unatarajiwa kufungua ...
Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha 2025/26, yenye jumla ya Sh476.65, bilioni imepangwa kutekelezwa katika ...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wasioona Tanzania, Omary Itambu amesema utolewaji wa elimu na mafunzo ya ununuzi wa umma kwenye ...
Amesema maziwa mengi yanayozalishwa Morogoro yanapotea wakati wa ukamuaji na usafirishaji, huku mengine yakikosa ubora ...