News

KIUNGO wa RS Berkane, Mamadou Lamine Camara, amesema licha ya ushindi wa mabao 2-0 walioupata katika fainali ya mkondo wa ...
MMOJA wa wanafamilia ya straika Viktor Gyokeres amedai anaamini staa ataendelea kubaki kwenye kikosi cha Sporting CP licha ya ...
NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes ameripotiwa kwamba amepanga hadi wiki ijayo atatoa uamuzi kama anataka kuachana ...
MABOSI wa Liverpool wameripotiwa kuwa na mpango wa kumpa dili jipya kocha Arne Slot baada ya Mdachi huyo kufunguka kwamba anataka abaki kwenye timu hiyo muda mrefu kama Jurgen Klopp.
KOCHA Mikel Arteta ameripotiwa kwamba kwa mara ya kwanza anataka kiungo Thomas Partey asainishwe mkataba mpya wa kuendelea ...
BAADHI ya viongozi na mashabiki wa soka kutoka Kenya, wameanza safari ya kwenda Zanzibar kuisapoti Simba ambayo kesho ...
MSANII wa Bongofleva Joslin ni miongoni mwa wasanii watatu waliounda kundi la Wakali Kwanza akiwa na wenzake Q Jay na Makamua huku MJ Records wakitoa kazi zao nyingi hapo ambazo ...
LIGI Kuu England 2024/25 itafika ukomo Jumapili, lakini jambo kubwa lililobaki ni vita ya kuwania nafasi ya kucheza michuano ...
HABARI ndo hiyo. Manchester United imeripotiwa kuwaweka sokoni mastaa wake wote kwenye kikosi kwamba hakuna ambaye hauzwi ...
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platnumz mambo yamezidi kumnyookea baada ya kusaini tena mkataba ...
STAA wa Real Madrid, Luka Modric, mwenye umri wa miaka 39, ametangaza kuachana na timu hiyo mwishoni mwa msimu huu baada ya ...
KAMA ulidhani mambo yameisha katika Ligi ya Championship baada ya Mtibwa Sugar kubeba ubingwa na kupanda Ligi Kuu Bara ...