NYOTA wanne wa Ligi Kuu Bara, akiwamo Duke Abuya wa Yanga na Elvis Rupia wa Singida Black Stars ni miongoni mwa wachezaji ...
MIONGONI mwa wachezaji wa Simba ambao wanatarajiwa kucheza kwa mara ya kwanza Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga, Machi 8 ni ...
WAKATI akili na nguvu za wachezaji na benchi la ufundi la Simba zimeelekezwa katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union inayotarajiwa kuchezwa kesho kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abe ...
TUTAENDELEZA vipigo, hizo ndio tambo za Kocha Mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi, kuelekea mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Pamba Jiji inayotarajiwa kuchezwa leo kuanzia saa 10:15 jioni kwenye Uwanja ...
After successfully assuming her role as the winner of South African Idols season 14 in 2018, soulful singer Yanga Sobetwa has now dipped her toes into yet another one of her passions. The singer has ...
Yanga Sobetwa, the talented 23-year-old winner of IDOLS SA season 14, has launched her own business, a makeup company called Betwa Beauty. This new venture is an exciting step for the young star as ...
Kulingana na ripoti za awali, kukamatwa kwake kulifanywa na wanajeshi kutoka Kikosi cha 87 ya Uingiliaji wa Haraka ya Marshal Khalifa Haftar. Watu wake watano pia walikamatwa. Mahmoud Sallah ...
Kudondoka kwa theluji kunakotarajiwa katika kipindi cha saa 24 hadi kesho Jumatatu asubuhi kunaweza kufikia sentimeta 70 mkoani Niigata; sentimeta 50 katika maeneo ya Tohoku, Kinki na Hokuriku ...
KIGOMA: YOUNG Africans (Yanga) delivered a ruthless performance, dismantling Mashujaa with a resounding 5-0 victory in a Mainland Premier League clash at Lake Tanganyika Stadium in Kigoma yesterday.
Ushindi huo wa 18 umeifanya Yanga kufikisha pointi 55 katika mechi 21 na ikiwa haina presha yoyote kwa sasa licha ya wapinzani wao, Simba na Azam zikipepetana kesho usiku, kwani hata ...
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu Hamdi Miloud kinashuka dimbani Februari 23 kusaka alama tatu muhimu katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mashujaa mkoani Kigoma. Yanga itakuwa ...