Klabu ya Yanga imewachapa watani wao wa jadi Simba SC na kuizuia klabu hiyo kutangazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania kwa msimu wa 2020/2021. Mabingwa watetezi Simba walihitaji kupata alama tatu ...
Simba inayoongoza msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na pointi 61, ushindi katika mechi hii dhidi ya Yanga, utawaweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa msimu huu ambao utakuwa wa nne mfululizo kwao ...