Klabu ya Yanga imewachapa watani wao wa jadi Simba SC na kuizuia klabu hiyo kutangazwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania kwa msimu wa 2020/2021. Mabingwa watetezi Simba walihitaji kupata alama tatu ...
Hisia za mashabiki wa soka Tanzania zitaelekezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam ambako kutachezwa mechi ya watani wa jadi Simba na Yanga kuanzia saa 11 jioni ikiwa ni ya mzunguko ...
Katika mwezi Februari pekee zitachezwa mechi 50 sawa na raundi sita vikiwemo viporo viwili. Simba na Yanga zenye rekodi ya kubeba ubingwa wa ligi mara nyingi zaidi ya timu zote zina dakika 630 sawa na ...
HII ni vita ya watani wa jadi, yaani ng’adu kwa ng’adu mpaka kieleweke. Unaweza kusema hivyo kutokana na namna Simba na Yanga zinavyokabana koo pale juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara zikiwa zote ...
Droo hiyo imefanyika jijini Johannesburg, Afrika Kusini, ambapo mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, imepangwa Kundi D. Saa chache baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kupanga ...
ALSO READ: Yanga keep CAF hopes alive However, amid the celebrations, challenges still loom. Simba’s defender Che Fondoh Malone openly acknowledged his mistake in a misplaced pass that led to an early ...
Dar es Salaam. Kocha wa Azam FC, Rachid Taoussi amesema licha ya kudondosha pointi nyingi duru la kwanza bado ana nafasi ya kuipambania timu hiyo kutwaa taji msimu huu, huku akiweka wazi kuwa ana ...
FROM the sunlit shores of Zanzibar to Mainland's sprawling plains, every two football fans you bump into in Tanzania are split between Simba SC and Young Africans SC (Yanga) not otherwise. It's a ...
DAR ES SALAAM: WIKIENDI hii miamba ya soka nchini Yanga na Simba itakuwa na kibarua kizito katika michuano inayoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwa ngazi ya klabu. Yanga itakuwa ...
Katika mwezi Februari pekee zitachezwa mechi 50 sawa na raundi sita vikiwemo viporo viwili. Simba na Yanga zenye rekodi ya kubeba ubingwa wa ligi mara nyingi zaidi ya timu zote zina dakika 630 sawa na ...