Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Chitete wilayani Ileje Mkoa wa Songwe, Halisoni ...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Chitete wilayani Ileje Mkoa wa Songwe, Halisoni Mwampashi (62) amefariki dunia baada ya kuuawa na watu wasiojulikana.
Musa Basuka (30) mkazi wa Kitongoji cha Manyanya katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Makongolosi Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua rafiki yake kwa ...
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Dawa na Uhalifu UNODC leo imeonya kuwa dawa zenye nguvu zaidi zilizotengenezwa kufanana na mihadarati asilia au za sintetiki huenda zikapata mahitaji makubwa zaidi ...