News

WAKATI mchakato wa uchukuaji fomu za kuwania nafasi ya ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ukiendelea waliokuwa ...
Katika Mahakama ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Neema Christopher, imefunguliwa shauri la jinai namba 14859/2025, Jamhuri dhidi ya Mwenyekiti wa Kijiji cha Lualaje Mat ...
The Utica City School District Board of Education received a proposed 2025-2026 district budget plan totaling $290,141,927 at a special meeting Tuesday at the district office in Utica, New York.
Ili kutathimini maendeleo ya mradi, UNICEF imetembelea moja ya maeneo ambako mradi huo unatekelezwa; Chunya moja ya wilaya 7 za mkoa wa Mbeya kusinimagharibi mwa Tanzania. Mradi wa GoTHOMIS ambao ni ...
Mfumo wa kidijitali unafadhiliwa na serikali ya Canada kupitia shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia watoto (UNICEF) nchini Tanzania umeanza kuonesha mafanikio katika kurahisisha huduma kama vile ...
BERNARD Morrison alikuwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Songwe wikiendi iliyopita akisaini katika klabu ya KenGold ya pale Chunya. Hapana shaka baada ya kutua viwanja vya Songwe alipita kando ya Uwanja wa ...
'Tanzania tunaitaka Chunya'. Ni kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mbarack Batenga akielezea Ken Gold kutumia Uwanja wa Chunya kwa ajili ya mechi zao za nyumbani Ligi Kuu msimu ujao. Uwanja huo ambao ...
Chunya. Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoa wa Mbeya, Mbarak Batenga ameagiza watendaji na wenyeviti wa vijiji kufanya msako wa nyumba kwa nyumba kuwakamata wazazi wa wanafunzi ambao hawajaripoti shule ...
MBEYA: MADINI yenye thamani ya Sh milioni 961 yenye uzito wa kilogramu 6.93 yamekamatwa Wilaya ya Chunya , mkoani Mbeya yakitoroshwa kwenda kuuzwa nje ya nchi. Hayo yamebainishwa leo Oktoba 28, 2023 ...
MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, atakonga nyoyo za wakulima wa Tumbaku wa Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya kupitia tamasha la Sauti ya Mkulima Wakati ni Sasa. Tamasha hilo limeandaliwa na Kampuni ...
Halmshauri ya Wilaya ya Chunya wameadhimisha siku ya Uhuru kwa kufanya usafi hospitali ya Wilaya, kujitolea damu na kuwatembelea wafungwa. Chunya. Wananchi wa halmshauri ya Wilaya ya Chunya mkoani ...