Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Chitete wilayani Ileje Mkoa wa Songwe, Halisoni ...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Chitete wilayani Ileje Mkoa wa Songwe, Halisoni Mwampashi (62) amefariki dunia baada ya kuuawa na watu wasiojulikana.