Dkt Doroth Gwajima ameamuru kusimamishwa kazi kwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Dkt Felista Kisandu kwa kutoa taarifa kuhusu kuwepo kwa ugonjwa usiofahamika Lizzy Masinga ...
Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama wa Barabarani katika kipindi cha kati ya Julai hadi Septemba 2024, watu 453 ...
Na katika hatua ya kipekee rais Magufuli amewastaafisa maafisa wakuu wa wilaya waliohitimu miaka 60. Bwana Magufuli aliwateua wakuu wa wilaya 139. Wakuu wa Wilaya waliosalia madarakani ni 39 pekee.