Dar es Salaam. Katika usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15 mwaka huu, Yanga ilitambulisha wachezaji wawili pekee ...
KATIKA usajili wa dirisha dogo uliofungwa Januari 15 mwaka huu, Yanga ilitambulisha wachezaji wawili pekee ambao ni beki Israel Mwenda kutoka Singida Black Stars na Jonathan Ikangalombo ...
lakini hivi sasa ligi ikiwa inachezwa japo imesimama kwa muda Pina ambaye ndiye kinara anatajwa kufanya mazungumzo na Yanga, lakini mwenyewe anaweka wazi kuwa ni tetesi tu bado ni mchezaji wa Mlandege ...