MABINGWA watetezi, Yanga wamekaa kileleni baada ya kuwaangamiza Kagera Sugar mabao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam jana. Ulikuwa ni ...
Dar es Salaam. The defending champions, Young Africans (Yanga), are poised to leapfrog Simba to the top position as they prepare to host Kagera Sugar tomorrow at the KMC Complex in Dar es Salaam.
KOCHA wa Yanga, Sead Ramovic wikiendi hii anaingia tena kibaruani kuiongoza katika mechi ya kiporo cha Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar huku akiwa na silaha inayombeba zaidi katika falsafa yake ya ...
KAMA kuna kitu kinasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Yanga kwenye soka la wanawake ni timu hiyo kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ambayo imekuwa ikiuota kila siku. Timu hiyo ilianza kushiriki Ligi Kuu ya ...
Dar es Salaam. Baada ya kutokaa kileleni mwa msimamo wa ligi tangu Novemba 7, 2024, Yanga imerudi katika nafasi hiyo baada ya leo kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Kagera Sugar kwenye Uwanja wa ...
Yanga will take to the field on Saturday to face Kagera Sugar at the KMC Complex Stadium in Dar es Salaam. Harrison stressed that while the team comes off a win in the FA Cup, they are determined to ...
The victory sees the Msimbazi Street giants leapfrog their traditional rivals, defending champions Young Africans (Yanga), in the standings. Ateba opened the scoring in the 12th minute with a powerful ...