MASHAMBULIZI mwanzo mwisho, hayo ni maneno ya wawakilishi wa Tanzania, Yanga kuelekea mechi ya Kundi A ya mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya TP Mazembe kutoka DR Congo ...
WAWAKILISHI pekee wa nchi katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wamesema mechi dhidi ya TP Mazembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DR Congo), itakayochezwa kesho kwenye Uwanja wa ...