News

Kocha huyo aliichukua Napoli ikiwa na hali mbaya baada ya msimu wa 2023/24 kumaliza ktika nafasi ya 10 baada ya kushindwa kutetea ubingwa wao wa 2022/23 chini ya kocha Luciano Spalletti.
Mwanza. Madini ya almasi yenye thamani ya zaidi ya Sh1.7 bilioni yamekamatwa yakitoroshwa nje kupitia uwanja wa ndege wa ...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wasioona Tanzania, Omary Itambu amesema utolewaji wa elimu na mafunzo ya ununuzi wa umma kwenye ...
Wakati migodi mingi nchini ikihamia kwenye uchimbaji wa chini ya ardhi, inaelezwa kuwa hatua hiyo imesababisha uhitaji wa ...
Wanafunzi watatu waliokuwa wakisoma katika Shule ya Msingi Lucky Vincent, wakanusurika katika ajali ya gari iliyotokea katika ...
Wakati mchakato wa kuandaa mtaala mpya wa umahiri ukiendelea, wataalamu wa elimu wamesema mtaala huo unatarajiwa kufungua ...
Uamuzi wa kumtangaza Mgaywa kugombea nafasi hiyo umetangazwa leo Mei 23, 2025, na Katibu Mkuu wa ADC taifa, Hamad Aziz jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamesisitiza kuwa licha ya umuhimu wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa, ni lazima wananchi ...
Mwananchi limeshuhudia magari yakipata shida kupita katika baadhi ya maeneo na yalishindwa kuendelea na safari kutokana na ...
Awali, kiongozi huyo alikamatwa na askari wa Polisi katika kituo cha mabasi yaendayo haraka cha Kimara, na kupelekwa Kituo ...
Baada ya kuibuka taarifa kwenye mitandao ya kijamii zikidai Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi amelipia gharama zote za ...
Akitoa takwimu za fidia za mkoa mzima, Makonda amesema kati ya fedha hizo Sh42.3 bilioni zilizotolewa katika kipindi hicho, fidia ya ujenzi wa kiwanja cha ndege Karatu ni Sh5.9 bilioni, mradi ...