News
Mawaziri wa Afrika wanaoongoza wizara kwenye masuala ya habari na teknolojia wanatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam, ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamsaka mtuhumiwa aliyembaka mwanafunzi wa darasa la kwanza mwenye umri wa miaka sita, ...
Uamuzi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk Tulia Ackson kutangaza nia ya kugombea jimbo jipya la Uyole, umeibua hisia tofauti kwa ...
Kwa mujibu wa taarifa ya Chadema, iliyotiwa saini na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia, uchaguzi wa Lissu na ...
'Baada ya Waya kumaliza kujibu maswali mbalimbali kutoka kwa wananchi katika mkutano wa hadhara, alisema anahisi hayupo sawa ...
Al Hilal ya Saudi Arabia imechoka kumsubiria kiungo aa Manchester United, Bruno Fernandes na sasa imemtaka hadi mwishoni mwa ...
Mei 21 ilikuwa siku ya Miliki Ubunifu Duniani na kauli mbiu yake ilikuwa, ‘MILIKI UBUNIFU NA MUZIKI:SIKILIZA MDUNDO WA MILIKI ...
Mahakama ya Rufani Zanzibar imebatilisha uamuzi wa kuwaachia huru washtakiwa watatu waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya kuua na badala yake, imewaona wana kesi ya kujibu, hivyo ...
James Ndomba (36), mwalimu wa Sekondari ya Msalato jijini Dodoma, anatajwa kuwa mgombea mwenye umri mdogo zaidi kati ya walimu 18 waliopitishwa kwenye nafasi hiyo.
Game liko chini ya soksi zake. Ndiyo! Analiendesha. Akiliamrisha linamtii. Anajituma. Ana pesa. Ana demu mzuri sana. Ni ...
Wakati mchakato wa kuandaa mtaala mpya wa umahiri ukiendelea, wataalamu wa elimu wamesema mtaala huo unatarajiwa kufungua ...
Wanafunzi watatu waliokuwa wakisoma katika Shule ya Msingi Lucky Vincent, wakanusurika katika ajali ya gari iliyotokea katika ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results